Jengo Lenye Orofa tano Lasinzia Mtaani Kinoo, Mafundi Waponea Kifo Chupuchupu
Kulingana na mafundi, jengo hilo lilikuwa na nyufa kwenye sehemu kadhaa za ukuta, walijaribu kumweleza mmiliki lakini alipuuzilia mbaliWapangaji wanaoishi karibu na jengo hilo wamehamishwa kuzui maafa ambayo yanaweza kutokana na kuanguka kwa jengo hiloMwakilishi wa wadi eneo hilo Samuel Kimani amesema mmliki atachukuliwa hatua za kisheria iwapo itapatikana alitumia njia za mkato kulijengaJengo la orofa tano limeporomoka mtaani Kinoo wakati mafundi walikuwa wakiendelea na ujenzi.
Kulingana na mafundi, mmliki wa jengo hilo alikuwa amearifiwa kuwa kulikuwa na nyufa kwenye sehemu kadhaa za ukuta lakini alipuuzilia.
[Read More]