Watu Watatu Wauawa Katika Ajali Kwenye Barabara ya Mombasa - Lunga Lunga
Ajali hiyo ambayo ilitokea alhamisi, Oktoba 7 mapema asubuhi, ilihusisha pikipiki mbili ambazo ziligongana ana kwa ana na kuwaka moto Watu watatu walifariki dunia papo hapo akiwemo baba na mwanawe ambao waliungua kiasi cha kutotambulikaJamaa huyo alikuwa kwenye pikipiki moja pamoja na mwanawe na mkewe wakati wa ajali hiyoAjali mbaya ya barabarani iliyohusisha pikipiki mbili katika eneo la Kombani kwenye barabara ya Mombasa-Lunga Lunga imewaangamiza watu watatu.
Ajali hiyo ambayo ilitokea alhamisi, Oktoba 7 mapema asubuhi, ilihusisha pikipiki mbili ambazo ziligongana ana kwa ana na kuwaka moto.
[Read More]